Thursday 25 June 2015

WAWAKILISHI WA CHAMA CHA WANANCHI ( CUF ) WAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na kutoka katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kwa kudai furugu iliotokea katika kituo cha uandikishaji cha skuli ya mto pepo.kwa kudai kuzuiwa wanachama wao kuandikisha.
 Makamu Mwenyekiti wa CUF,Mhe Juma Duni akijibu maswali ya Waandishi wa habari kuhusiana na kuchukua uamuzi wa kususia Kikao cha Baraza las Wawakilishi wakati wa ichangoo ya Wizara ya Fedha kwa kudai kufganyika kwa vurugu katika zioezi la uandikishaji wa wapiga kura katika kituo cha skuli ya mto pepo.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo wakati wa Viongozi wa CUF wakitowa maelezo ya kususia kikao cha baraza wakati wa kupitisha bajeti ya wizara ya fedha Zanzibar.
Waheshimia wajumbe wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya CUF Vuga.    Kwa hisani ya ZanziNews
Habari na: http://rweyunga.blogspot.com 

No comments:

Post a Comment