Wednesday, 8 October 2014

Kumekucha : Maalim Seif Hamad Kujiuzulu Umakamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar...

 
Hali ya mambo visiwani Zanzibar siyo nzuri hata kidogo, (wala si ya kufurahia) toka jana jioni ilipotoka taarifa ya kufukuzwa kazi kwa Mwanasheria Mkuu wa SUK Athuman Masoud k
umekuwa na vikao usiku kucha kwa viongozi na wanachama wa CUF Zanzibar, na kuazimia pamoja na mambo mengine kufanya tathimini ya "KUJIUZULU" kwa makamo wa kwanza wa rais wa serikali ya umoja wa kitaifa. Maalim Seif.
Naam, mmoja wa vijana aliepewa kazi ya kupima upepo ambaye ni mwanasheria wa CUF, anaangalia swala hili kisheria (ikumbukwe kuna makubaliano ya kisheria katika kuongoza SUK).Baadhi wamepewa angles tofauti na kutoa majibu mapema iwezekanavyo.Ili Mheshimiwa achukue uamuzi Mgumu haraka leo.Kama ikiwa ndio hivyo, kesho Media zote ni kujiuzulu kwa Sharif na si kupokeaji wa katiba My take: Kama karidhia yeye mwenyewe Mh.Maalim, na iwe hivyo ila kama ni kupata attention ya media tu siyo.
Stay tuned...
Source:Jamii Forums

BREAKING_NEWZ‬ HUU NDIO MUONEKANO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILIOPO KIBAHA MAILI MOJA

BREAKING_NEWZ‬ HUU NDIO MUONEKANO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILIOPO KIBAHA MAILI MOJA

 leo katika hatasisitupo.blogspot.com tuna kuletea muonekano wa mahakama ya mwanzo ya kibaha maili moja ambayo serekali imeshindwa ata kuikarabati japo ni mahakama iliyo zaidi ya miaka 20 je ni kweli serikali aiyaoni aya majengo au kunani?

 hiyo apo picha ni askari aliye leta watuhumiwa kwenye mahakama iyo ya mwanzo ya kibaha maili moja

      nahiyo apo picha ni choo cha mahakama hiyo ambacho akifanani kabisa na hadhi ya mahakama hiyo.
Habari na africanmishe.blogspot.com