MASHINE ZA BVR ZAGEUKA BIASHARA JIJINI ARUSHA
Kinamama wakifanyabiashara ya mama ntilie katika kituo cha kupiga kura cha kata ya Sombetini ,vituo vya kujiandikisha vinakabiliwa na idadi kubwa ya watu hali inayopelekea foleni ndefu na watu kukesha kwenye vituo.
|