MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF AHITIMISHA ZIARA YA KUWATEMBELEA WAGONJWA UNGUJA
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akihitimisha ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya
Magharibi "A" na "B".
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,
akiwa na Sheikh Habibu Ali Kombo wakiitia dua baada ya kumjuilia hali.
(Picha na Salmin Said, OMKR)
Habari toka: http://rweyunga.blogspot.com
No comments:
Post a Comment