Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Wabunge 55 na imeshatolea maamuzi rufaa 42 bado rufaa za Wabunge 13 ambazo vielelezo vyake vinasubiriwa kutoka kwenye Halmashauri husika. Kulikuwa na Rufaa 16 za Wabunge waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 13wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 3 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hawatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea. Aidha, rufaa 24 zimekataliwa na Tume ambapo maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yataendelea kubaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea. Pia kuna rufaa 2 ambazo Tume haijazijadili kwa kuwa hazikufuata utaratibu wa kuwasilisha Tume yaani kupitia kwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Majimbo husika hivyo, maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yatabaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea kama walivyoteuliwa. (Jedwali 1)
2. Rufaa za Madiwani
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Madiwani 200 na imeshatolea maamuzi rufaa 82 bado rufaa za Madiwani 118 ambazo zinaendelea kufanyiwa kazi. Kulikuwa na Rufaa 16 za Madiwani waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 15 wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 1 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea. Aidha,rufaa 64 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo yataendelea kubaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea.(Jedwali 2)
Jedwali 1 (Tarehe 31/08/2015)
Na. | Jimbo | Aliyekata Rufani | Aliyekatiwa Rufani | Uamuzi wa Tume |
---|---|---|---|---|
1 | Rungwe | Frank George Maghoba ACT Wazalendo |
Saul Henry Amon CCM |
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
2 | Kinondoni | Karama Masoud Suleiman, ACT Wazalendo |
Azzan Iddi Mohamed CCM |
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni. |
3 | Peramiho | Mwingira Erasmo Nathan CHADEMA |
Jenista Joakim Mhagama CCM |
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Peramiho. |
4 | Lindi Mjini | Barwany Salum Khalfan (CUF) |
Kaunje Hassani Selemani (CCM) |
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
5 | MLALO | GOGOLA SHECHONGE GOGOLA (CUF) | RASHID ABDALLAH SHANGAZI (CCM) | Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mlalo. |
6. | MAFIA | KIMBAU OMARY AYOUB (CUF) | DAU MBARAKA KITWANA (CCM) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
7. | MJI WA HANDENI | DAUDI KILLO LUSEWA (CHADEMA) | KIGODA ABDALLAH OMARI (CCM) | Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mji wa Handeni. |
8. | NJOMBE KUSINI | EMMANUEL GODGREY MASONGA (CHADEMA) | EDWARD FRANS MWALONGO (CCM) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
9 | NJOMBE KUSINI | EMMANUEL GODFREY MASONGA (CHADEAMA) |
WILLIAM EDWARD MYEGETA (DP) |
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
10. | NJOMBE KUSINI | EMMANUEL GODFREY MASONGA (CHADEMA) |
EMILIAN JOHN MSIGWA (ACT -wazalendo) |
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
11. | KINONDONI | KALUTA, AMIRI ABEDI (CHAUMMA) |
AZZAN IDD MOHAMED (CCM) |
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
12. | MICHEWENI | KHAMIS JUMA OMARI (CCM) | HAJI KHATIB KAI (CUF) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
13. | CHALINZE | SHOO GASPER AIKAELI (ACT –Wazalendo) | KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA (CCM) | Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze. |
14. | CHALINZE | TORONGEY MANGUNDA MATHOYO (CHADEMA0 | KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA (CCM) |
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze. |
15. | KASULU MJINI | MACHALI MOSES JOSEPH (ACT – Wazalendo) |
NSANZUGWANKO DANIEL NICODEMUS (CCM) |
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
16. | MWANGA | KILEWO HENRY JOHN (CHADEMA) | PROF. MAGHEMBE JUMANNE ABDALLAH (CCM) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
17. | Tarime Mjini | Esther Nicholas Matiko (CHADEMA ) |
Deogratius Meck Mbagi (ACT – Wazalendo) |
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
18. | Ulanga | Celina Ompeshi Kombani (CCM) | Ikongoli Pancras Michael (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
19. | Nzega Mjini | Mezza Leonard John (CUF) | Bashe, Mohammed Hussein (CCM) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
20 | Nkenge | Bagachwa Salim Abubakar (CUF) | Kamala Diodorus Buberwa (CCM) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
21. | Ulanga | Celina Ompeshi Kombani (CCM) | Isaya Isaya Maputa (ACT – Wazalendo) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
22. | Bukene | Elias Michael Machibya (CCM) | Simbi Alex Mpugi (CUF) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
23. | Ileje | Janeth Zebedayo Mbene (CCM) | Emmanuel Amanyisye Mbuba (NCCR – Mageuzi) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
24 | Ileje | Emmanuel Amanyisye Mbuba (NCCR – Mageuzi) |
Janeth Zebedayo Mbene (CCM) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
25 | Kigoma Kusini | Bidyanguze Nashon William (ADA – TADEA) | Msimamizi wa Uchaguzi (RO) | Tume imekubali Rufaa ya mrufani kwani aliwasilisha fomu 4 za uteuzi zenye jumla ya wadhamini 52. Hivyo, Tume imemrejesha Mgombea wa ADA TADEA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kigoma Kusini . |
26 | BUMBULI | DAVID JOHN CHAMYEGH (CHADEMA) |
JANUARY YUSUF MAKAMBA ( CCM) | Tume imekubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Bumbuli aendelee na Kampeni. |
27 | DODOMA MJINI | KIGAILA BENSON SINGO (CHADEMA) | MAVUNDE PETER ANTONY (CCM) | Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
28 | LUDEWA | MSAMBICHAKO BARTHOLOMEO A. MKINGA ( CHADEMA) | FILIKUNJOMBE DEO HAULE (CCM) | Tume imekubali Rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Ludewa. Aendelee na Kampeni. |
29 | KINONDONI | MTULIA MAULID SAID ABDALLAHCUF | AZZAN IDD MOHAMED CCM | Tume imeikubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni aendelee na Kampeni. |
30 | MTAMA | SELEMANI SAIDI MTULUMA UPDP |
MCHINJITA RASHID ISIHAKA CUF |
Tume imekataa rufaa na inakubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo Mrufani ameondolewa kwenye ugombea kihalali na kisheria. |
31 | UKONGA | JERRY WILLIAM SILAA (CCM) | WAITARA MWIKABE (CHADEMA) | Tume imeikataa imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kuwaWaitara Mwikwabeni Mgombea halali. Wagombea waendelee na kampeni. |
32 | SENGEREMA | FRANCISCO K. SHEJUMABU (UDP) |
TABASAM H. MWAGAO (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na inakubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo,Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali. |
33 | SENGEREMA | TUMAINI MWALE KABUSINJA (NCCR – Mageuzi) | HAMIS MWAGAO TABASAM (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo,Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali. |
34 | MOSHI MJINI | KIRETI KAMASHO ISSAC (SAU) | JAPHARY RAPHAEL MICHAEL (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa ya mrufani, kwa kuwa hajatoa uthibitisho kuwa mrufaniwa siyo raia wa Tanzania. Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo,Japhary Raphael Michael ni mgombea halali. |
35 | MADABA | BUSARA LOSTOON KAISARI (ACT – Wazalendo) | Msimamizi wa Uchaguzi | Tume imekubali Rufaa na kumrejesha BUSARA LOSTOON KAISARI, Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Madaba. |
36 | TANGA MJINI | NUNDU OMARI RASHID (CCM) | KIDEGE HAMAD AYUBU MHAMED (ACT – Wazalendo) | Tume imekubaliana na, uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo rufaa imekataliwa. Wagombea wanaendelea na kampeni |
37 | TANGA MJINI | NUNDI OMARI RASHID (CCM) | MUSSA BAKARI MBAROUK (CUF) | Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na Wagombea wanaendelea na kampeni. |
Tarehe 02/09/2015 | ||||
38 | ARUMERU MASHARIKI | NASSARI JOSHUA SAMWEL (CHADEMA) | PALLANGYO JOHN DANIELSON (CCM) | Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na wagombea wanaendelea na Kampeni.. |
39 | SHINYANGA MJINI | STEVEN JULIUS MASELE (CCM) | PATROBAS PASCHAL KATAMBI (CHADEMA) | Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa. Wagombea waendelee na kampeni. |
40 | MTAMBWE | KHAMIS SEIF ALLI (CCM) | ALI SALIM OMARI (AFP) | Rufaa hii haikujadiliwa na Tume kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa haukufuatwa. |
41 | MGOGONI | ISSA JUMA HAMAD(CCM) | SULEIMAN ALI YUSUF | Rufaa hii haikujadiliwa kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa haukufuatwa. |
Jedwali 2 Tarehe 01/07/2015
Na. | Jimbo | Aliyekata Rufani | Aliyekatiwa Rufani | Uamuzi wa Tume |
---|---|---|---|---|
1.
|
CHIKUNJA/NDANDA | KASTOR JOSEPH MMUNI (CHADEMA) |
MPONDA FILEMON NOAMECK DISMAS (NLD) | Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
2
|
KIMAMBA ‘A’/KILOSA | SILAS RAMADHANI KASSO (CUF) | AIRU MUSTAPHA KAISI (ACT-WAZALENDO) | Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi |
3
|
NYAMISANGURA/TARIME MJINI | BASHIRI ABDALLAH SELEMANI (CHADEMA) | NCHANGWA SAMWELI MAGOIGA (CCM) |
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Nyamisungura |
4
|
OLMOLOG/LONGIDO | MATHIAS ORKIREYE MOLLEL (CCM) |
DIYOO LOMAYANI SYOKINO LAIZA (CHADEMA) |
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
5
|
MWISENGE/MUSOMA | LADISLAUS MANYAMA MAGESA (CCM) |
BWIRE NYAMERO BWIRE (CHADEMA) | Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi |
6
|
BOMANI/TARIME MJINI | MECCO KAZIMOTO KABILA (CHADEMA) |
MASUBO GODFREY MICHAEL (CCM) |
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya BOMANI. |
7.
|
ISYESYE/JIJI LA MBEYA | MDEMU MELAS PAUL (CCM) | IBRAHIM JOHN MWAMPWANI (CHADEMA) |
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi. |
8
|
MBARIKA/MISUNGWI | IZENGO TUMAINI PETER (CHADEMA) |
ZUBERI MANZA NGUKULA (ACT-WAZALENDO | Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi |
9
|
KILAGANO/WILAYA YA SONGEA | BATHLOMEO SIXMUNDI MKWERA (CHADEMA) |
EMANUEL EMILIAN NGONYANI (CCM) |
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi |
10
|
ISAMILO/Jiji la Mwanza | TIBA DEUS TIBA (TADEA) |
YAHAYA IDDI NYALENGA (ACT-WAZALENDO) |
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi |
11
|
BENDERA/SAME | MICHAEL RICHARD MCHARO (CHADEMA) |
CHRISTOPHER MAIKO MZIRAI (CCM) |
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Bendera. |
12
|
MBWEWE | MAHAMBA BAKARI RAMADHANI (CCM) |
MOHAMEDI JUMA RAJABU (CUF) |
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe |
13
|
MABIBO | JOSEPH WILLIAM KESSY (CCM) |
DASTAN ATHANASIO ERNEST (CUF) |
Tume imetengua uamuzi wa
Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CUF katika orodha ya
Wagombea wa Kata ya Mabibo. Wagombea waendelee na kampeni. |
14
|
WANGING’OMBE | HINGI ROSINA GABRIEL (CHADEMA) |
NYAGAWA GEOFREY KILUNDO (CCM) |
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi |
15
|
TALAWANDA/CHALINZE | SHABANI MAULIDI SEMINDU (SAU) |
ZIKATIMU SAIDI OMARI (CCM) |
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Talawanda. |
16
|
KIWANGWA/CHALINZE | OMARI RASHIDI DAVID (CHADEMA) |
MALOTA HUSEIN KWAGGA (CCM) |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
17
|
LUGOBA/CHALINZE | UCHECHE IDDI MRISHO (CHADEMA) |
MWENE ISSA REHEMA (CCM) |
Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
18
|
ISYEYE/MBEYA JIJI | MDEMU MELAS PAUL (CCM) | SANKE ENOCK SESO (APPT-Maendeleo) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
19
|
ISYEYE/MBEYA JIJI | MDEMU MELAS PAUL (CCM) | MWASEBA SARAH MWASAMBOMA (NCCR-Mageuzi) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi |
20
|
ISYEYE/MBEYA JIJI | MDEMU MELAS PAUL (CCM) | FABIAN ERNEST DEO (ACT-WAZALENDO) | Tume imkataa rufaa na imekubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi. |
21
|
KASHAI/BUKOBA MJINI | KABAJU NURULHUDA ADULKADIR (CHADEMA) | SAMORA A. LYAKURWA (CCM) | Tume imekubali rufaa na
kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya
Kashai. Wagombea waendelee na kampeni. |
22
|
MBWEWE/CHALINZE | MAHAMBA BAKARI RAMADHANI (CCM) | PAPA JUMA HAMISI (CHADEMA) | Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe |
23
|
KIWANGWA/CHALINZE | MALOTA HUSSEIN KWAGGA (CCM) | OMARI RASHID DAVID (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
24
|
MCHANGANI/TUNDURU KASKAZINI | MAWILA MOHAMED YASIN CUF |
HAIRU HEMED MUSSA CCM |
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea MAWILA MOHAMED YASIN CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mchangani. |
25
|
BUGORORA/MISENYI | SWALEH AHMADA MLISA (CHADEMA) |
PROJESTUS M. RUZIGIJA (CCM) |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
26
|
SIRARI/TARIME | SAGARA AMOS NYABIKWI (CCM) | NYANGOKO PAUL THOMAS (CHADEMA) |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
27
|
KIBASUKA/ TARIME | ISAYA NYANGOYE TARRIMO (ACT-Wazlendo) | LOICE CHACHA MANYATA (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi |
28 | Kibasuka/ Tarime | ISAYA NYANGOYE MATIKO (ACT- Wazalendo) | KELEMANI NYAKIHA KEHEMGU (CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
29 | IYELA/ JIJI LA MBEYA | EMMANUEL ELIAH LYATINGA (CCM) | CHARLES CHANGANI MKELLA (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
30 | IGANJO | WASHAHA JAIVU MIHALI (CCM) | DAVID EDWARD MWANGONELA (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
31 | ISYESYE | MDEMU MELAS PAUL CCM |
MWASEBA SARAHA MWASAMBOMA |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
32 | MIYUJI/ MANISPAA DODOMA | WALLACE DANIEL LUSSINGU | DAVID WILLIAM MGONGO | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
33 | MNADANI | EUSTACE RWENYANGILA RUBANDWA | FARIDA ISSA MBARUKU | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
34 | THEMI/ JIJI LA ARUSHA | LABORA PETRO NDARPOI CCM |
MELANCE EDMOND KINABO CHADEMA |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
35 | LUFILYO/ BUSOKELO | MWAMAFUPA LUCAS GIDION CCM |
RICHARD AFRICA MWANGOMALE CHADEMA |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
36 | SOMANDA/ BARIADI | HERI MCHUNGA ZEBEDAYO CHADEMA |
ROBERT LWEYO MGATA CCM |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
37 | ULEMO/ IRAMBA | ELIKANA MAKALA SHOMIA | SAMWELY F. SHILA | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
38 | KIEGEANI/ MAFIA | SELEMANI DARUSI ALLY | HASSAN MOHAMED SWALHU | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
39 | ISYESYE/ JIJI LA MBEYA | MDEMU MELAS PAUL | SANKE ENOCK SESO | Tume imepitia vielezo vya mrufani na kujiridhisha rufaa haina msingi. Hivyo Tume imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi |
40 | PERA/ CHALINZE | MAJIDI MUSSA ISALE (CHADEMA) |
LEKOPE LAINI LANG’WESI (CCM) |
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Pera |
41 | MWAYA/ ULANGA | LILONGERI FADHILI FURAHA (CCM) |
MOHAMEDI KAPELEWELE RASHIDI (CHADEMA) |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
42 | KIRUSHYA/ NGARA | SOSPETER SALAZIEL KAPFHUM (CHADEMA) |
SENTORE MIBULO JACOB |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
43 | IYELA/ JIJI LA MBEYA | EMMANUEL ELIAH LYATINGA | KELVIN HENRY MYEMBA | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
44 | MBEZI MKURANGA | RAMADHANI MOHAMED MBWELA CUF |
RASHID MOHAMED SERUNGWI CCM |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
45 | SHUNGUBWENI/MKURANGA | KULWA SELEMANI MSUMI CUF |
KAMBWIRI OMARI SHAIBU CCM |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
46 | CHIFUTUKA/BAHI | NOLLO MWINJE MNZAJILA CCM |
RUBENI SALI LUHENDE CHADEMA |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
47 | KITUNTU/KARAGWE | MODEST KATARE KALOKOLA CHADEMA |
ZIDINA TAYEBWA MURUSHID CCM |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
48 | VIANZI/MKURANGA | NAZIRU JUMA CHUMU CUF |
NASSOR ALLY CHUMA CCM |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
49 | IPALA/DODOMA MJINI | SHUKRANI AMOSI MHALINGA NCCR-MAGEUZI |
GEORGE STEPHEN NGAWA, VICTORIA, MATAGI MAGABE, AMANI CHIBWANA MADELEMU CCM na ACT-WAZALENDO |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
50 | LUKANDE/WILAYA YA ULANGA | MAJIJI NOVATUS SILVATUS (CCM) | MHAWI AWDHI AMIRI (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
51 | MONDO/CHEMBA | SAMBALA SAID OMAR (CCM) | ATHUMAN HUSSEIN KIDUNDA (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
52 | UPONERA/ULANGA | MWENTI MARIA MAGNUSI (CCM) | EMELIANA ZAKARIA MHAWI (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
53 | BUSIS/SENGEREMA | BUZANGI FLAVIAN ARBOGAST (ACT –Wazalendo) | DICKSON YONA SAMWEL (CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
01/09/2015 | ||||
Na | JIMBO | Aliyekata Rufaa | Aliyekatiwa Rufaa | Uamuzi wa Tume | ||
---|---|---|---|---|---|---|
54 | MINZIRO/ MISENYI | TWAHA YUNUSU LUBYAYI (CCM) | GEORGE MUKASA KAZIBA (CHADEMA) | Hakuna ushahidi kuthibitisha kuwa Mrufaniwa si mkazi wa kawaida wa Kata ambayo anagombea. aliiwasilisha barua kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kuthibitisha Pingamizi lake kwa kupitia kwa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti. Rufaa hina msingi Serkretatieti inapendekeza ikataliwe. Wagombea waendelee na kampeni. | ||
55. | MAWASILIANO/ULANGA | SALUM DOTTO MOHAMED (ACT-WAZALENDO) | INNOCENT VICTOR MWACHIPA (CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
56 | MADUKANI | BAHAJI HUSSEIN ALLY (CCM) | SAIDI LUGA KITEGILE (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
57. | VIANZI | SEIF RAJABU LUMU (CHADEMA) | ANDASON FRANCIS MBANGUKA (CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
58. | MUNDEM/BAHI | FELIX THOMAS MBUNA (CHADEMA) | GORDEN M. ENYAGALO (CCM) | Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. Imemrudisha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni. | ||
59. | KILOSA MPEPO/ HALMASHAURI YA MALINYI | KIWANGA KILIAN BONAVE NTURA (CHADEMA) | HAMISA YUSUPH KYELULA (CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
60. | LUPILO/WILAYA YA ULANGA | MAHUNDU AYUBU HASSAN (CCM) | MADUNDA ABDALA MKALIMOTO (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
61 | NYARUYEGE/ BUSANDA | CHARLES KALEMELA MAKONA (CHADEMA) | MALIMI SAMSONI SAGUDA (CCM) | Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni. | ||
62 | MKURANGA | MWARAMI SHAHA MKETO (CUF) | SAID MOHAMED KUBENEA (CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
63. | CHIROMBOLA | FUNDI YAHAYA CHUMA | MGUBA HILGAD ITATIRO | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
64. | MKONGOTEMA/ MADABA | OSWARD P. NJIKU | VITUS M. MFIKWA | Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha mgombea kugombea udiwani katika kata ya Mkongotema. | ||
65. | CHIKUNJA/ NDANDA | KASTOR JOSEPH MMUNI –(CHADEMA) | OMARI MOHAMED MKOKO-(CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
66. | NKINGA/MANONGA | SALI ALPHONCE LWAMBO (ACT-WAZALENDO) | ISACK GILBERT KIBONA- (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
67 | KILINDI | MOHAMEDI S. LUGENDO- CUF | MOHAMED BAKARI MKOMWA- CCM |
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
68. |
NYAMISANGURA/ TARIME MJINI | DIDAS NCHAMA MAKARANGA(ACT –WAZARENDO) | SAMWEL NCHANGWA MAGOIGA (CCM) | Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea Didasi Nchana Makaranga kugombea kwenye Kata ya Nyamisangura. | ||
69. |
IGWACHANYA /WANG’INGOMBE | MHABUKA HENRY AMOS-(CHADEMA) | MAHWATA ANTHON EMANUEL (CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
||
70. |
KEMAMBO | JOHN MASYAGA MANG”ERANYI (CHADEMA) |
BOGOMBA RASHID CHICHAKE(CCM) | Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA kugombea udiwani. | ||
71 |
MAJENGO/MOSHI DC | MINJA PETER PANTALEO –(CHADEMA) | SABITIPA MWALIMU MCHOMVU – (CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
72 |
MOROGORO JUU | EMIRY ALPHONCE KIDEVU-(CCM) | YASSINI KONDO KUNGWA-(CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
73 |
KYERWA/ RUTUNGURU | RICHARD BURCHARD KABARA –(CHADEMA) | FRUGENCE MUZORA FREDERICK – (CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
74
|
MWEMA/TARIME | PETRUES JOSEPH ITAARA (CHADEMA) | NTOGORO PETER KURATE (CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
75
|
KITAJI/MUSOMA MJINI | FRANK DIONIS WABARE (CCM) | HAILE SIZZA TARAI (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
75
|
UBENA/CHALINZE | MUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM) | MHOKA AUGUSTINO EVARISTO (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
76
|
UBENA/CHALINZE | MUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM) | MGAMA ASHRAF ATHUMANI (ACT-WAZALENDO) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
77
|
BUJULA/WILAYA YA GEITA | KANIJO AMINA SWEDI | KONGEJA YOHANA MULELE | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
78
|
MBERE/ILEJE | CHAGHI ANDREA KALINGA | OMARI AMBILIKILE KAMENDU | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
79
|
HUNYARI/BUNDA | SUMERA KIHARATA MZUMARI (CCM) | MAKIMA HAMAROSI JOSEPHAT (CHADEMA) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. | ||
80
|
KEMAMBO/TARIME VIJIJINI | JOHN MASYAGA MENG’ENYA (CHADEMA) | BOGOMBA RASHID CHICHAKE (CCM) | Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. |
||
81
|
BOMANI/TARIME | MECCO KAZIMOTO KABILA (CHADEMA) | MASUBO GODFREY MICHAEL (CCM) | Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea agombee Udiwani. | ||
82
|
MADABA | OSWALD P. NJIKU (CHADEMA) | VISTUS M. MFIKWA (CCM) | Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea agombee Udiwani. |