Naibu Katibu Mkuu wa CUF Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui akizungumza na
waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na
kutoka katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kwa kudai furugu iliotokea
katika kituo cha uandikishaji cha skuli ya mto pepo.kwa kudai kuzuiwa
wanachama wao kuandikisha.
Makamu
Mwenyekiti wa CUF,Mhe Juma Duni akijibu maswali ya Waandishi wa habari
kuhusiana na kuchukua uamuzi wa kususia Kikao cha Baraza las Wawakilishi
wakati wa ichangoo ya Wizara ya Fedha kwa kudai kufganyika kwa vurugu
katika zioezi la uandikishaji wa wapiga kura katika kituo cha skuli ya
mto pepo.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo wakati wa Viongozi wa CUF
wakitowa maelezo ya kususia kikao cha baraza wakati wa kupitisha bajeti
ya wizara ya fedha Zanzibar.
Waheshimia wajumbe wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Ofisi ya CUF Vuga. Kwa hisani ya ZanziNewsHabari na: http://rweyunga.blogspot.com
No comments:
Post a Comment