VYAMA VYA WAONGOZA WATALII NA WAPAGAZI TANZANIA WATOA SIKU 30 KWA SERIKALI KUSHUGHULIKIA MADAI YAO
Mwenyekiti
wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA) Respicius
Baitwa akizungumza katika mkutano wa vyama vinayofanya shughuli za
Utalii katika hifadhi za taifa juu ya kusudio la kutaka kusitisha kutoa
huduma katika hifadhi kutokana na malalamiko yao kutofanyiwa kazi hadi
sasa.
Baadhi ya wajumbe walioshiriki mkutano huo uliofanyika katika Hotel ya Uhuru mjini Moshi.
Katibu wa KGA ,James Mong'ateko akizungumza katika mkutano huo.
Wajumbe wengine wa vyama vinayofanya shughuli za utalii katika hifadhi za taifa ikiwemo mlima Kiliamanjaro.
Mwanasheria
wa Chama cha waongoza watalii mkoa wa Kilimanjaro (KGA) Elikunda Kipoko
akitoa ufafanuzi wa kisheria katika mkutano huo.
Mmoja wa wajumbe katika mkutano huo akichangia hoja juu ya kusudio la kutaka kuhitisha mgomo kwa lengo la kudai maslahi yao.
Mkutano
huo ulitoa siku 30 kwa serikal kutekeleza mambo mawili moja likiwa ni
kutoa taarifa juu ya kikosi kazi kilichoundwa na mkuu wa mkoa wa
Kilimanjaro ,Leonidas Gama kufuatilia kero mbalimbali ikiwa ni pamoja na
kutaka kuonana na waziri wa maliasili na utalii,Lazaro Nyalandu.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Habari na:http://rweyunga.blogspot.com
No comments:
Post a Comment