Hatimaye bibi akaweza kusimama na kuanza kufanya vituko vya kila aina -picha na Kadama Malunde-Shinyanga |
Bibi akaamua kukaa na kuanza kutoa pesa alizokuwa amezifunga kiunoni kwa kwenye mfuko mlaini-picha na Kadama Malunde-Shinyanga |
Zilikuwa ni shilingi za hamsini hamsini,mia moja ,mia mbili,mia tano na elfu akaziweka kwenye kibakuli kilichokuwa eneo la tukio -picha na Kadama Malunde-Shinyanga |
Kushoto ni mjumbe wa serikali ya mtaa wa Mageuzi Waziri Musa(CHADEMA) akisaidiana na wananchi wa eneo hilo kumwondoa bibi huyo kwenye nyumba ya mkazi wa eneo hilo -picha na Kadama Malunde-Shinyanga |
Bibi akiwa amelala juu ya mawe kabla askari polisi hawajafika eneo la tukio leo mchana japokuwa bibi huyo amekutwa nyumbani kwa mtu saa moja asubuhi-picha na Kadama Malunde-Shinyanga |
Askari polisi wakimwangalia bibi huyo -picha na Kadama Malunde-Shinyanga |
Askari polisi akiwa amembeba bibi huyo kumtoa kwenye mawe,na katika hali ya kushangaza bibi huyo alimng'ang'ania askari huyo-picha na Kadama Malunde-Shinyanga |
No comments:
Post a Comment