Kaimu
kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Juma Bwire akizungumza na
waandishi wa habari katika eneo la tukio la ajali mbaya iliyotokea eneo
la kata ya Malolo manispaa ya Tabora ambapo watu wanne walikuwa
wamepanda basi hilo la kampuni ya Dont Worry ambapo lilisababisha ajali
hiyo baada ya kugonga treni ya mizigo,watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya na
kulazwa hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete. |
No comments:
Post a Comment