RAIS KIKWETE AONGOZA SIKU YA KUPIGA VITA MADAWA YA KULEVYA DUNIANI MJINI BAGAMOYO LEO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipungia mkono wakati wa kupokea maandamano
ya waathirika wa madawa ya kulevya walio katika matibabu kwenye
Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia ni
katika Viwanja vya Taasisi ya sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini
Bagamoyo leo Juni 26, 2016.
Wasanii
wanafunzi wa Mwaka wa tatu wakichezaa igizo la athari za madawa ya
kulevya mbele ya Rais Kikwete wakati wa Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku
ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia ni katika Viwanja vya Taasisi ya
sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini Bagamoyo leo Juni 26, 2016.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipena mikono na timu za michezo zilizoshinda
michezo ya waathirika wa madawa ya kulevya walio katika matibabu kwenye
Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia ni
katika Viwanja vya Taasisi ya sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini
Bagamoyo leo Juni 26, 2016.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua mpango wa mawasiliano kuhusu athari za magonjwa mbalimbali hatarishi kupitia simu ya mkononi akiwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Seif Selemani Rashid na Mkurugenzi Mkuu wa Tanzania Youth Alliance (TAYOA) Bw. Peter Masika kwenye Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Dunia ni katika Viwanja vya Taasisi ya sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA) mjini Bagamoyo leo Juni 26, 2016. PICHA NA IKULU
Habari na:http://rweyunga.blogspot.com
No comments:
Post a Comment