kiafya sinzuri baada ya kubadilika gafla wakati akiwa katika mahakama kuu ya
Kisutu Jijini Dar es Salaam na hivyo kukimbizwa katika Hospitali ya UN
kinondoni DSM.
Lipumba alifikshwa mahakamani hapo na kusomewa mashitaka ya kuongoza
Lipumba alifikshwa mahakamani hapo na kusomewa mashitaka ya kuongoza
maandamano haramu.Profesa huyo akiwa na wafuasi wake wameachiwa kwa
dhamana na kesi yao itasomwa tena tarehe 26 February Mwaka 2015
Ikumbukwe kwamba, Lipumba alikamatwa jana na jeshi la polisi kanda
maalumu ya Dar es salaam wakati alipokuwa akielekea eneo la
Zakhem, Mbagala, kulikokuwa kumeandaliwa mkutano wa
hadhara, kutoa
taarifa kwa wafuasi waliokuwa wamekusanyika, kuwa mkutano
na
maandamano yamezuiliwa na Polisi.
No comments:
Post a Comment