Moto
mbaya ilitokea juzi K.koo hapo dogo akitolewa ndani ya nyumba yao
iliyokuwa inaungua moto alikimbizwa hospital mida asubuhi madaktari
walisema moto umeingia asilimia 92% usiku wa juzi akafariki tulimpenda
Mungu alimpenda zaidi na alizikwa jana saa kumi jioni katika makaburi ya kisutu R.I.P mdogo wetu.
No comments:
Post a Comment