Saturday, 31 October 2015

Friday, 4 September 2015

MUHTASARI WA MAAMUZI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DHIDI YA RUFAA ZA UBUNGE NA UDIWANI

1. Rufaa za Wabunge
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Wabunge 55 na imeshatolea maamuzi rufaa 42 bado rufaa za Wabunge 13 ambazo vielelezo vyake vinasubiriwa kutoka kwenye Halmashauri husika. Kulikuwa na Rufaa 16 za Wabunge waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 13wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 3 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hawatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea. Aidha, rufaa 24 zimekataliwa na Tume ambapo maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yataendelea kubaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea. Pia kuna rufaa 2 ambazo Tume haijazijadili kwa kuwa hazikufuata utaratibu wa kuwasilisha Tume yaani kupitia kwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Majimbo husika hivyo, maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yatabaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea kama walivyoteuliwa. (Jedwali 1)


2.
Rufaa za Madiwani

Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Madiwani 200 na imeshatolea maamuzi rufaa 82 bado rufaa za Madiwani 118 ambazo zinaendelea kufanyiwa kazi. Kulikuwa na Rufaa 16 za Madiwani waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 15 wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 1 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea. Aidha,rufaa 64 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo yataendelea kubaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea.(Jedwali 2)


Jedwali 1 (Tarehe 31/08/2015)
Na. Jimbo Aliyekata Rufani Aliyekatiwa Rufani Uamuzi wa Tume
1 Rungwe Frank George Maghoba
ACT Wazalendo
Saul Henry Amon
CCM
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





2 Kinondoni Karama Masoud Suleiman,
ACT Wazalendo
Azzan Iddi Mohamed
CCM
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni.





3 Peramiho Mwingira Erasmo Nathan
CHADEMA
Jenista Joakim Mhagama
CCM
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Peramiho.





4 Lindi Mjini Barwany Salum Khalfan
(CUF)
Kaunje Hassani Selemani
(CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





5 MLALO GOGOLA SHECHONGE GOGOLA (CUF) RASHID ABDALLAH SHANGAZI (CCM) Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mlalo.





6. MAFIA KIMBAU OMARY AYOUB (CUF) DAU MBARAKA KITWANA (CCM) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





7. MJI WA HANDENI DAUDI KILLO LUSEWA (CHADEMA) KIGODA ABDALLAH OMARI (CCM) Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mji wa Handeni.





8. NJOMBE KUSINI EMMANUEL GODGREY MASONGA (CHADEMA) EDWARD FRANS MWALONGO (CCM) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





9 NJOMBE KUSINI EMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEAMA)
WILLIAM EDWARD MYEGETA
(DP)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





10. NJOMBE KUSINI EMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEMA)
EMILIAN JOHN MSIGWA
(ACT -wazalendo)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





11. KINONDONI KALUTA, AMIRI ABEDI
(CHAUMMA)
AZZAN IDD MOHAMED
(CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





12. MICHEWENI KHAMIS JUMA OMARI (CCM) HAJI KHATIB KAI (CUF) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





13. CHALINZE SHOO GASPER AIKAELI (ACT –Wazalendo) KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA (CCM) Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze.





14. CHALINZE TORONGEY MANGUNDA MATHOYO (CHADEMA0 KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA
(CCM)
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze.





15. KASULU MJINI MACHALI MOSES JOSEPH
(ACT – Wazalendo)
NSANZUGWANKO DANIEL NICODEMUS
(CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





16. MWANGA KILEWO HENRY JOHN (CHADEMA) PROF. MAGHEMBE JUMANNE ABDALLAH (CCM) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





17. Tarime Mjini Esther Nicholas Matiko
(CHADEMA )
Deogratius Meck Mbagi
(ACT – Wazalendo)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





18. Ulanga Celina Ompeshi Kombani (CCM) Ikongoli Pancras Michael (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





19. Nzega Mjini Mezza Leonard John (CUF) Bashe, Mohammed Hussein (CCM) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
20 Nkenge Bagachwa Salim Abubakar (CUF) Kamala Diodorus Buberwa (CCM) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





21. Ulanga Celina Ompeshi Kombani (CCM) Isaya Isaya Maputa (ACT – Wazalendo) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
22. Bukene Elias Michael Machibya (CCM) Simbi Alex Mpugi (CUF) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





23. Ileje Janeth Zebedayo Mbene (CCM) Emmanuel Amanyisye Mbuba (NCCR – Mageuzi) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





24 Ileje Emmanuel Amanyisye Mbuba
(NCCR – Mageuzi)
Janeth Zebedayo Mbene (CCM) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





25 Kigoma Kusini Bidyanguze Nashon William (ADA – TADEA) Msimamizi wa Uchaguzi (RO) Tume imekubali Rufaa ya mrufani kwani aliwasilisha fomu 4 za uteuzi zenye jumla ya wadhamini 52. Hivyo, Tume imemrejesha Mgombea wa ADA TADEA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kigoma Kusini .





26 BUMBULI DAVID JOHN CHAMYEGH
(CHADEMA)
JANUARY YUSUF MAKAMBA ( CCM) Tume imekubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Bumbuli aendelee na Kampeni.






27 DODOMA MJINI KIGAILA BENSON SINGO (CHADEMA) MAVUNDE PETER ANTONY (CCM) Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.





28 LUDEWA MSAMBICHAKO BARTHOLOMEO A. MKINGA ( CHADEMA) FILIKUNJOMBE DEO HAULE (CCM) Tume imekubali Rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Ludewa. Aendelee na Kampeni.





29 KINONDONI MTULIA MAULID SAID ABDALLAHCUF AZZAN IDD MOHAMED CCM Tume imeikubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni aendelee na Kampeni.





30 MTAMA SELEMANI SAIDI MTULUMA
UPDP
MCHINJITA RASHID ISIHAKA
CUF
Tume imekataa rufaa na inakubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo Mrufani ameondolewa kwenye ugombea kihalali na kisheria.





31 UKONGA JERRY WILLIAM SILAA (CCM) WAITARA MWIKABE (CHADEMA) Tume imeikataa imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kuwaWaitara Mwikwabeni Mgombea halali. Wagombea waendelee na kampeni.





32 SENGEREMA FRANCISCO K. SHEJUMABU
(UDP)
TABASAM H. MWAGAO (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na inakubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo,Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali.





33 SENGEREMA TUMAINI MWALE KABUSINJA (NCCR – Mageuzi) HAMIS MWAGAO TABASAM (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo,Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali.





34 MOSHI MJINI KIRETI KAMASHO ISSAC (SAU) JAPHARY RAPHAEL MICHAEL (CHADEMA) Tume imekataa rufaa ya mrufani, kwa kuwa hajatoa uthibitisho kuwa mrufaniwa siyo raia wa Tanzania. Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo,Japhary Raphael Michael ni mgombea halali.





35 MADABA BUSARA LOSTOON KAISARI (ACT – Wazalendo) Msimamizi wa Uchaguzi Tume imekubali Rufaa na kumrejesha BUSARA LOSTOON KAISARI, Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Madaba.





36 TANGA MJINI NUNDU OMARI RASHID (CCM) KIDEGE HAMAD AYUBU MHAMED (ACT – Wazalendo) Tume imekubaliana na, uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo rufaa imekataliwa. Wagombea wanaendelea na kampeni






37 TANGA MJINI NUNDI OMARI RASHID (CCM) MUSSA BAKARI MBAROUK (CUF) Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na Wagombea wanaendelea na kampeni.

Tarehe 02/09/2015
38 ARUMERU MASHARIKI NASSARI JOSHUA SAMWEL (CHADEMA) PALLANGYO JOHN DANIELSON (CCM) Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na wagombea wanaendelea na Kampeni..








39 SHINYANGA MJINI STEVEN JULIUS MASELE (CCM) PATROBAS PASCHAL KATAMBI (CHADEMA) Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa. Wagombea waendelee na kampeni.

40 MTAMBWE KHAMIS SEIF ALLI (CCM) ALI SALIM OMARI (AFP) Rufaa hii haikujadiliwa na Tume kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa haukufuatwa.





41 MGOGONI ISSA JUMA HAMAD(CCM) SULEIMAN ALI YUSUF Rufaa hii haikujadiliwa kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa haukufuatwa.











Jedwali 2 Tarehe 01/07/2015
Na. Jimbo Aliyekata Rufani Aliyekatiwa Rufani Uamuzi wa Tume
1.
CHIKUNJA/NDANDA KASTOR JOSEPH MMUNI
(CHADEMA)
MPONDA FILEMON NOAMECK DISMAS (NLD) Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
2
KIMAMBA ‘A’/KILOSA SILAS RAMADHANI KASSO (CUF) AIRU MUSTAPHA KAISI (ACT-WAZALENDO) Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

3
NYAMISANGURA/TARIME MJINI BASHIRI ABDALLAH SELEMANI (CHADEMA) NCHANGWA SAMWELI MAGOIGA
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Nyamisungura

4
OLMOLOG/LONGIDO MATHIAS ORKIREYE MOLLEL
(CCM)
DIYOO LOMAYANI SYOKINO LAIZA
(CHADEMA)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

5
MWISENGE/MUSOMA LADISLAUS MANYAMA MAGESA
(CCM)
BWIRE NYAMERO BWIRE (CHADEMA) Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

6
BOMANI/TARIME MJINI MECCO KAZIMOTO KABILA
(CHADEMA)
MASUBO GODFREY MICHAEL
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya BOMANI.

7.
ISYESYE/JIJI LA MBEYA MDEMU MELAS PAUL (CCM) IBRAHIM JOHN MWAMPWANI
(CHADEMA)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.

8
MBARIKA/MISUNGWI IZENGO TUMAINI PETER
(CHADEMA)
ZUBERI MANZA NGUKULA (ACT-WAZALENDO Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

9
KILAGANO/WILAYA YA SONGEA BATHLOMEO SIXMUNDI MKWERA
(CHADEMA)
EMANUEL EMILIAN NGONYANI
(CCM)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

10
ISAMILO/Jiji la Mwanza TIBA DEUS TIBA
(TADEA)
YAHAYA IDDI NYALENGA
(ACT-WAZALENDO)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi

11
BENDERA/SAME MICHAEL RICHARD MCHARO
(CHADEMA)
CHRISTOPHER MAIKO MZIRAI
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Bendera.

12
MBWEWE MAHAMBA BAKARI RAMADHANI
(CCM)
MOHAMEDI JUMA RAJABU
(CUF)
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe
13
MABIBO JOSEPH WILLIAM KESSY
(CCM)
DASTAN ATHANASIO ERNEST
(CUF)
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Mabibo. Wagombea waendelee na kampeni.

14
WANGING’OMBE HINGI ROSINA GABRIEL
(CHADEMA)
NYAGAWA GEOFREY KILUNDO
(CCM)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi






15
TALAWANDA/CHALINZE SHABANI MAULIDI SEMINDU
(SAU)
ZIKATIMU SAIDI OMARI
(CCM)
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Talawanda.





16
KIWANGWA/CHALINZE OMARI RASHIDI DAVID
(CHADEMA)
MALOTA HUSEIN KWAGGA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





17
LUGOBA/CHALINZE UCHECHE IDDI MRISHO
(CHADEMA)
MWENE ISSA REHEMA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





18
ISYEYE/MBEYA JIJI MDEMU MELAS PAUL (CCM) SANKE ENOCK SESO (APPT-Maendeleo) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





19
ISYEYE/MBEYA JIJI MDEMU MELAS PAUL (CCM) MWASEBA SARAH MWASAMBOMA (NCCR-Mageuzi) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi





20
ISYEYE/MBEYA JIJI MDEMU MELAS PAUL (CCM) FABIAN ERNEST DEO (ACT-WAZALENDO) Tume imkataa rufaa na imekubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi.





21
KASHAI/BUKOBA MJINI KABAJU NURULHUDA ADULKADIR (CHADEMA) SAMORA A. LYAKURWA (CCM) Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Kashai. Wagombea waendelee na kampeni.










22
MBWEWE/CHALINZE MAHAMBA BAKARI RAMADHANI (CCM) PAPA JUMA HAMISI (CHADEMA) Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe





23
KIWANGWA/CHALINZE MALOTA HUSSEIN KWAGGA (CCM) OMARI RASHID DAVID (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





24
MCHANGANI/TUNDURU KASKAZINI MAWILA MOHAMED YASIN
CUF
HAIRU HEMED MUSSA
CCM
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea MAWILA MOHAMED YASIN CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mchangani.





25
BUGORORA/MISENYI SWALEH AHMADA MLISA
(CHADEMA)
PROJESTUS M. RUZIGIJA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





26
SIRARI/TARIME SAGARA AMOS NYABIKWI (CCM) NYANGOKO PAUL THOMAS
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





27
KIBASUKA/ TARIME ISAYA NYANGOYE TARRIMO (ACT-Wazlendo) LOICE CHACHA MANYATA (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi





28 Kibasuka/ Tarime ISAYA NYANGOYE MATIKO (ACT- Wazalendo) KELEMANI NYAKIHA KEHEMGU (CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





29 IYELA/ JIJI LA MBEYA EMMANUEL ELIAH LYATINGA (CCM) CHARLES CHANGANI MKELLA (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





30 IGANJO WASHAHA JAIVU MIHALI (CCM) DAVID EDWARD MWANGONELA (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





31 ISYESYE MDEMU MELAS PAUL
CCM
MWASEBA SARAHA MWASAMBOMA

Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





32 MIYUJI/ MANISPAA DODOMA WALLACE DANIEL LUSSINGU DAVID WILLIAM MGONGO Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
33 MNADANI EUSTACE RWENYANGILA RUBANDWA FARIDA ISSA MBARUKU Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





34 THEMI/ JIJI LA ARUSHA LABORA PETRO NDARPOI
CCM
MELANCE EDMOND KINABO
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.










35 LUFILYO/ BUSOKELO MWAMAFUPA LUCAS GIDION
CCM
RICHARD AFRICA MWANGOMALE
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





36 SOMANDA/ BARIADI HERI MCHUNGA ZEBEDAYO
CHADEMA
ROBERT LWEYO MGATA
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.









37 ULEMO/ IRAMBA ELIKANA MAKALA SHOMIA SAMWELY F. SHILA Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





38 KIEGEANI/ MAFIA SELEMANI DARUSI ALLY HASSAN MOHAMED SWALHU Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





39 ISYESYE/ JIJI LA MBEYA MDEMU MELAS PAUL SANKE ENOCK SESO Tume imepitia vielezo vya mrufani na kujiridhisha rufaa haina msingi. Hivyo Tume imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi





40 PERA/ CHALINZE MAJIDI MUSSA ISALE
(CHADEMA)
LEKOPE
LAINI
LANG’WESI
(CCM)
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Pera





41 MWAYA/ ULANGA LILONGERI FADHILI FURAHA
(CCM)
MOHAMEDI KAPELEWELE RASHIDI
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





42 KIRUSHYA/ NGARA SOSPETER SALAZIEL KAPFHUM
(CHADEMA)
SENTORE
MIBULO JACOB

Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





43 IYELA/ JIJI LA MBEYA EMMANUEL ELIAH LYATINGA KELVIN HENRY MYEMBA Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





44 MBEZI MKURANGA RAMADHANI MOHAMED MBWELA
CUF
RASHID MOHAMED SERUNGWI
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.






45 SHUNGUBWENI/MKURANGA KULWA SELEMANI MSUMI
CUF
KAMBWIRI OMARI SHAIBU
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





46 CHIFUTUKA/BAHI NOLLO MWINJE MNZAJILA
CCM
RUBENI SALI LUHENDE
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





47 KITUNTU/KARAGWE MODEST KATARE KALOKOLA
CHADEMA
ZIDINA TAYEBWA MURUSHID
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





48 VIANZI/MKURANGA NAZIRU JUMA CHUMU
CUF
NASSOR ALLY CHUMA
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.









49 IPALA/DODOMA MJINI SHUKRANI AMOSI MHALINGA
NCCR-MAGEUZI
GEORGE STEPHEN NGAWA, VICTORIA, MATAGI MAGABE, AMANI CHIBWANA MADELEMU
CCM na ACT-WAZALENDO
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





50 LUKANDE/WILAYA YA ULANGA MAJIJI NOVATUS SILVATUS (CCM) MHAWI AWDHI AMIRI (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





51 MONDO/CHEMBA SAMBALA SAID OMAR (CCM) ATHUMAN HUSSEIN KIDUNDA (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





52 UPONERA/ULANGA MWENTI MARIA MAGNUSI (CCM) EMELIANA ZAKARIA MHAWI (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.





53 BUSIS/SENGEREMA BUZANGI FLAVIAN ARBOGAST (ACT –Wazalendo) DICKSON YONA SAMWEL (CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

01/09/2015




















Na JIMBO Aliyekata Rufaa Aliyekatiwa Rufaa Uamuzi wa Tume
54 MINZIRO/ MISENYI TWAHA YUNUSU LUBYAYI (CCM) GEORGE MUKASA KAZIBA (CHADEMA) Hakuna ushahidi kuthibitisha kuwa Mrufaniwa si mkazi wa kawaida wa Kata ambayo anagombea. aliiwasilisha barua kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kuthibitisha Pingamizi lake kwa kupitia kwa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti. Rufaa hina msingi Serkretatieti inapendekeza ikataliwe. Wagombea waendelee na kampeni.
55. MAWASILIANO/ULANGA SALUM DOTTO MOHAMED (ACT-WAZALENDO) INNOCENT VICTOR MWACHIPA (CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
56 MADUKANI BAHAJI HUSSEIN ALLY (CCM) SAIDI LUGA KITEGILE (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
57. VIANZI SEIF RAJABU LUMU (CHADEMA) ANDASON FRANCIS MBANGUKA (CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
58. MUNDEM/BAHI FELIX THOMAS MBUNA (CHADEMA) GORDEN M. ENYAGALO (CCM) Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. Imemrudisha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni.
59. KILOSA MPEPO/ HALMASHAURI YA MALINYI KIWANGA KILIAN BONAVE NTURA (CHADEMA) HAMISA YUSUPH KYELULA (CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
60. LUPILO/WILAYA YA ULANGA MAHUNDU AYUBU HASSAN (CCM) MADUNDA ABDALA MKALIMOTO (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
61 NYARUYEGE/ BUSANDA CHARLES KALEMELA MAKONA (CHADEMA) MALIMI SAMSONI SAGUDA (CCM) Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni.
62 MKURANGA MWARAMI SHAHA MKETO (CUF) SAID MOHAMED KUBENEA (CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
63. CHIROMBOLA FUNDI YAHAYA CHUMA MGUBA HILGAD ITATIRO Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
64. MKONGOTEMA/ MADABA OSWARD P. NJIKU VITUS M. MFIKWA Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha mgombea kugombea udiwani katika kata ya Mkongotema.
65. CHIKUNJA/ NDANDA KASTOR JOSEPH MMUNI –(CHADEMA) OMARI MOHAMED MKOKO-(CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
66. NKINGA/MANONGA SALI ALPHONCE LWAMBO (ACT-WAZALENDO) ISACK GILBERT KIBONA- (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
67 KILINDI MOHAMEDI S. LUGENDO- CUF MOHAMED BAKARI MKOMWA-
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
68.









NYAMISANGURA/ TARIME MJINI DIDAS NCHAMA MAKARANGA(ACT –WAZARENDO) SAMWEL NCHANGWA MAGOIGA (CCM) Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea Didasi Nchana Makaranga kugombea kwenye Kata ya Nyamisangura.
69.















IGWACHANYA /WANG’INGOMBE MHABUKA HENRY AMOS-(CHADEMA) MAHWATA ANTHON EMANUEL (CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

70.















KEMAMBO JOHN MASYAGA MANG”ERANYI
(CHADEMA)
BOGOMBA RASHID CHICHAKE(CCM) Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA kugombea udiwani.
71







MAJENGO/MOSHI DC MINJA PETER PANTALEO –(CHADEMA) SABITIPA MWALIMU MCHOMVU – (CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
72







MOROGORO JUU EMIRY ALPHONCE KIDEVU-(CCM) YASSINI KONDO KUNGWA-(CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
73

KYERWA/ RUTUNGURU RICHARD BURCHARD KABARA –(CHADEMA) FRUGENCE MUZORA FREDERICK – (CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
74
MWEMA/TARIME PETRUES JOSEPH ITAARA (CHADEMA) NTOGORO PETER KURATE (CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
75
KITAJI/MUSOMA MJINI FRANK DIONIS WABARE (CCM) HAILE SIZZA TARAI (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
75
UBENA/CHALINZE MUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM) MHOKA AUGUSTINO EVARISTO (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
76
UBENA/CHALINZE MUYUWA NICHOLOUS GEORGE (CCM) MGAMA ASHRAF ATHUMANI (ACT-WAZALENDO) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
77
BUJULA/WILAYA YA GEITA KANIJO AMINA SWEDI KONGEJA YOHANA MULELE Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
78
MBERE/ILEJE CHAGHI ANDREA KALINGA OMARI AMBILIKILE KAMENDU Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
79
HUNYARI/BUNDA SUMERA KIHARATA MZUMARI (CCM) MAKIMA HAMAROSI JOSEPHAT (CHADEMA) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
80
KEMAMBO/TARIME VIJIJINI JOHN MASYAGA MENG’ENYA (CHADEMA) BOGOMBA RASHID CHICHAKE (CCM) Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.

81
BOMANI/TARIME MECCO KAZIMOTO KABILA (CHADEMA) MASUBO GODFREY MICHAEL (CCM) Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea agombee Udiwani.
82
MADABA OSWALD P. NJIKU (CHADEMA) VISTUS M. MFIKWA (CCM) Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea agombee Udiwani.